KUHUSU MUUNGANO WA WAFANYABIASHARA MWANZA
Huu ni muungano wa kusaidiana na kufarijiana kwenye misiba
Huu ni muungano wa kusaidiana na kufarijiana kwenye misiba
Mtaa wa wilfred dogo na masele-Masele Nchimani
Mtaa Emma kembice, dismass na Tata mahende-Emmanuel Mayunga
Mtaa wa Juma umeme na Baraka-Baraka Hamis
Mama samora, mtaa wa yunis kafiwa na mama mkwe wake naomba achangiwe kwa ambao h
...
Ndg, Geofrey samwel wa mtaa wa chendra kafiwa na mtoto msiba upo mabatini mtaa
...
Tumepatwa na msiba ndg barik swai kafiwa na baba mzazi moshi/kilimanjaro naomba
...
Naomba achangiwe yupo sahihi - 03/05/2023
Issa mohamed kafiwa na baba mzazi, naomba achangiwe msiba upo halari, tumia syst
...
Mzee chama Jonathan kafiwa na mtoto msiba upo nyumbani kwake kiseke(Nyuma ya nyu
...
Revocatus,amefiwa na mama mkwe wake naomba achangiwe
Yupo vzr ni mwanachama ha
...
Mzee samwel omera kafiwa na mama mzazi, msiba upo nyambit-buzuruga naomba achang
...
Mzee vitalis almada kafiwa na baba mzazi naomba achangiwe ni mwanachama hai - 11/06/2023
Naomba achangiwe ni mwanachama hai - 19/06/2023
Paulo kajode kafiwa na mama mkwe naomba achangiwe ni nwanachana hai - 14/07/2023
Mr joachim antony kafiwa na baba mkwe msiba upo runzewe msasa naomba achangiwe - 19/08/2023
Naomba achangiwe - 16/10/2023
Alex kaiza naomba achangiwe - 19/10/2023
mama daudi kafiwa na ba mkwe wake naomba achangiwe - 27/10/2023
Mama nimilwa kafiwa na mama mzazi naomba achangiwe yupo sahihi ni mwanachama hai
...
philemon kasssanga kafiwa na mama mzazi jana, Naomba achangiwe - 24/12/2023
naomba achangiwe plz 13/02 - 13/02/2024
mama kifresh achangiwe yupo vzr - 22/04/2024
naomba achangiwe yupo vzr tarehe 22/04 - 22/04/2024
Habari, karibu kwenye system mpya kwa shida yoyote piga 0683821443 - 16/03/2023